- Get link
- Other Apps
Basi la
kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar
es salaam limeungua moto asubuhi ya August 09 likitokea Mtwara
kuelekea Dar es salaam.
Taarifa
ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya
kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa
Lindi.
Comments