DK MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA KIGAMBONI DAR


Ofisa Mradi wa Ujenzi wa daraja la Kigamboni, Kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi Karim Mataka (kulia), akimuongoza Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli (katikati), kupita kwenye daraja la Kigamboni, alipotembelea eneo la mradi, Kurasini, Dar es Salaam leo.(NA MPIGAPICHA MAALUM)


Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli akishika nguzo kubwa ya daraja la Kigamboni, alipokagua ujenzi wa daraja hilo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Mradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo na Msimamizi wa mradi huo, Mhandisi Karim Mataka wa NSSF. (Na Mpigapicha Wetu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*