HII NDO KUFURU YA BILIONEA MAARUFU HAPA AFRIKA ALIYO FANYA KATIKA GRADUATION YA MTOTO WAKE HUKO UINGEREZA


 

Bilionare maarfu kutoka hapa Africa ajulikanaye kwa jina la Femi Otedola kutoka Nigeria amefanya kufuru kwenye graduation ya mwanaye ajulikanaye kama Dj Cupppy ambapo Thamani ya pesa aliyotumia ni sawa na kiasi cha kuwasomesha watoto watano kutoka Kindergarten mpaka Elimu ya chuo kikuu sasa kama hii ni graduation Ndoa yake itakuwaje,Binti huyu alikuwa akisoma chuo cha Kings’ College kule London ambapo ameachia album yake mpya ijulikanayo kwa jina la  House of Cuppy picha zingine hizi hapa 































Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.