KAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LTD (TDL) YAZINDUA KINYWAJI KIPYA CHA KIMATAIFA, FYFE’S SCOTCH WHISKY KATIKA SOKO LA TANZANIA

 
  Langa Khanyile mtaalamu wa upikaji na uchanganyaji wa kinywaji cha Fyfe’s akitoa maelezo ya kina ni kwa namna gani kinywaji hicho kinaandaliwa kutoka hatua ya kwanza mpka Mwisho.
  Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe's.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya  Fyfe's katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland.Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba waTanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa asilimia kubwa kwa kutumia vitu asilia,
 Langas Group wakiingia ukumbuni kwa kutoa burudani ikiwa ni kumkaribisha Bwana Langa Khanyile ambaye ni mtaalamu wa masuala ya upishi wa bia na uchanganyaji.
 Langa Khanyile mtaalamu wa upikaji na uchanganyaji wa kinywaji cha Fyfe’s akicheza kwa furaha na mshehereshaji wa shughuli hiyo Jimy Kabwe Ndani ya Serena Hotel wakati wa uzinduzi
Moshi mkubwa ukitoka ndani ya kifaa cha mfano wa glass ya asili kuashiria uzinduzi rasmi wa kinywaji cha Fyfe’s ndani ya Serena hotel
 Wageni waalikwa na wadau mbalimbali wakiangalia namna pekee ya uzinduzi wa kinywaji cha Fyfe’s

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA