MAKOMANDOO WA KIJESHI 33 KUTOKA NEPAL WANASWA DAR

 Picha za baadhi ya makomandoo wa kijeshi 33 walionaswa na Uhamiaji  eneo la Tegeta, Dar es Salaam leo. Watu hao waliokutwa kwenye nyumba mbili, walikuja nchini kwa ahadi ya kupatiwa kazi katika kampuni za ulinzi. Wapo nchini kwa takribani mwezi mmoja sasa. Miongoni mwao wamo raia wa India.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*