MANCHESTER UNITED YAFUMULIWA NA SWANSEA MABAO 2-0 UFUNGUZI LIGI KUU YA ENGLAND

KOCHA mpya matatizo yale yale Manchester United- hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mashetani hao Wekundu kuanza vibaya Ligi Kuu ya England kwa kuchapwa mabao 2-0 na Swansea City Uwanja wa Old Trafford. 

Mabao yaliyomfanya kocha Mholanzi, Louis Van Gaal aanze vibaya Ligi Kuu yamefungwa na Ki dakika ya 28 na Sigurdsson dakika ya 72. 
Kikosi cha Man Utd kilikuwa; De Gea; Jones, Smalling, Blackett, Lingard/Januzaj dk24, Fletcher, Herrera/Fellaini dk67, Young, Mata, Hernandez/Nani dk46 na Rooney. 
Swansea; Fabianski; Rangel, Amat, Williams, Taylor/Tiendalli, Ki, Shelvey, Routledge, Sigurdsson, Dyer/Montero dk67 na Bony/Gomis dk77. 
Matatizo pale pale; Kocha Van Gaal kulia na Msaidizi wake, Ryan Giggs kushoto wakiwa hawaamini macho yao

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU