MAZISHI YA BABA YAKE MZAZI WA NAIBU WAZIRI, AMOS MAKALLA

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kushoto) akiwa na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  George Simbachawene ambaye alikwenda kufariji wakati wa msiba wa baba yake mzazi, marehemu Gabriel Makalla, Mvomero, mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (katikati) akisaidiwa na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini,  Dk. Emmanuel Nchimbi kuweka shada la maua kwenye kaburi la baba yake marehemu Gabriel Makalla wakati wa maziko yalityofanyika wilayani Mvomero, Morogoro.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*