MSAMA , POLISI WAWAKAKAMATA WATU 15 WANAOIBA KAZI ZA WASANII

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha baadhi ya CD feki za muziki ya wasanii mbalimbali wa muziki wa injili zilizokamatwa katika operesheni inayoendelea nchini. Watu 15 walikamatwa wakiuza CD hizo katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam. Kulia ni Mrakibu Mwandamizi wa Polisi,  ambaye ni mpelelezi wa Kituo cha Polisi cha Urafiki, Dar es Salaam, Denis Moyo na askari wa kituo hicho anayeongoza operesheni hiyo, Daniel Nonosiua.

 Sehemu ya CD zilizokamatwa zikiwa zimesambazwa katika Kituo cha Polisi cha Urafiki, Ubungo, Dar es Salaam. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI