MC Ndg. Farouk akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa show katika ukumbi wa Ngomekongwe
Wananchi wakifuatilia Onesho la Msanii kutoka India Bi.Vani Madhav akitowa burudani hiyo katika viwanja vya Ngomekongwe.
Balozi Mdogo wa India mwenye suit akishangilia moja ya onesho la ufungu
la Kikundi cha Chuo cha Sanaa Zanzibar kikitoa burudani ya muziki wa
mwambao, akiwa na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Nchini Zanzibar Balozi Satendar Kumar, akizungumza
wakati wa Onesho la Muziki wa Wasanii kutoka India Bi Vani
Madhav,lililofanyika katika ukumbi wa ngomekongwe.Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud,
akihutubia wakati wa onesho la Msanii mahiri kutoka India Bi Vani
Madhav, alipokuwa akitowa burudani ya dansi ya India, iliofanyika usiku
katika ukumbi wa ngomekongwe, Akimuwakilisha Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Wananchi wakifuatilia Onesho la Msanii kutoka India Bi. Vani Madhav akitowa burudani hiyo katika viwanja vya Ngomekongwe.
Wananchi wakifuatilia Onesho la Msanii kutoka India Bi.Vani Madhav akitowa burudani hiyo katika viwanja vya Ngomekongwe.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed
Aboud (katikatiki) na kulia Balozi Mdogo
wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, na kushoto Balozi Mdogo wa China
Zanzibar Balozi Kie. Yuanliang, wakifuatilia onesho hilo
la msanii kutoka nchini India
akionesha umahiri wake wa kucheza ngoma ua Utamaduni wa India iliofanyika katika ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar.
Wananchi wakifuatilia onesho la ngoma ya Utamaduni kutoka
India ikichezwa na Msanii maarufu Bi Vani Madhav,iliofanyika katika ukumbi wa
ngome kongwe lililoandaliwa na Ubalozi wa India na kudhaminiwa na Baraza la
Utamaduni na Uhusiano la (ICCR) na kusimamiwa ma kamati Wafanyabiashara wa Zanzibar wenye asili ya
India.
Msanii kutoka India Bi Vani Madhav akitowa maelezo ya jinsi ya onesho
lake kwa wananchi waliohudhuria katika ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar
kabla ya kuaza kwa onesho hilo lililoandaliwa na Ubalozi wa India
Tanzania na kusimamiwa na Kamati ya Wafanyabiashara wa Zanzibar wenye
asili ya India kufanikisha onesho hilo kwa Wananchi wa Zanzibar.
Wananchi wenye asili ya India wakichukua picha ya kumbukumbu ya Msanii
kutoka India Bi Vani Madhav wakati akionesha onesho lake katika ukumbi
wa Ngome Kongwe Zanzibar.
Msanii kutoka
India Bi Vani Madhav, akiwa katika ukumbi wa ngome kongwe akionesha ngoma ya
Utamaduni wa India katika
viwanja vya Ngomekongwe Zanzibar ilioandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania.
Msanii kutoka
India Bi Vani Madhav, akiwa katika ukumbi wa ngome kongwe akionesha ngoma ya
Utamaduni wa India katika
viwanja vya Ngomekongwe Zanzibar ilioandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania.
Msanii kutoka
India Bi Vani Madhav, akiwa katika ukumbi wa ngome kongwe akionesha ngoma ya
Utamaduni wa India katika
viwanja vya Ngomekongwe Zanzibar ilioandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania.
Comments