MTEMVU AONGOZA SEMINA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA ILANI JIMBONI MWAKE

 Mbunge wa Temeke ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Abbas Mtemvu akiendesha kikao cha Wenyeviti wa mitaa katika jimbo la Temeke, kwenye Ukumbi wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika jimbo hilo. Katika kikao hicho walihudhuria pia viongozi wa Chama wa ngazi za juu katika mitaa hiyo. Kutoka kulia ni Naibu Meya wa Temeke, Juma Mkenga na Mwenyekiti wa jimbo Ahmad Mnamala. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
  Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke, Juma Mkenga (kulia) akizungumza wakati wa kikao hicho cha kutathmini na kujadili utekelezaji wa ilani ya CCM jimbo la Temeke.Kushoto ni Katibu wa Jimbo la Temeke, Kasim Kiame na Mbunge wa Jimbo hilo, Abbas Mtemvu.
 Wajumbe wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho

Wajumbe wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI