UNAAMBIWA HIVIII: UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI IPO SKYLIGHT BAND PEKEE NDANI YA THAI VILLAGE LEO


Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mbepera(wa pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai Village masaki.Kila ijumaa Bendi yako mahiri na isiyoshikika Skylight Banda wanakuwa Thai Village wakikupa burudani ya nguvuuuu na suprizeee kibaooooo,Usikose Ijumaa Hii.
Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mpera(wa pili toka kushoto) wakiimba kwa umakini kabisa ili kuwapa ile kitu roho inapenda mashabiki wao
Digna Mbepera akipiga Vocal Kaliii kabisa na kwa madaha ili kuwapa burudani mashabiki na wapenzi wa Skylight Band ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Anaitwa Mkali wa Sauti ya mtetemo Mary Lucos akiimba Vizuri kabisa ili kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai Village
Tamu ya warembo Sam Mapenzi akizitiririsha Sauti kaliiii na zenye utamu kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band.
Le Meneja Her Self Aneth Kushaba akiwa na furahaa sana kuona mashabiki wao wanapata kile wanachokiitaji kutoka kwao na si kingine ni burudani iliyokwenda shule.
Babaa ya Kongo Sony Masamba Akizipiga zile za kikongo kwa umakini kabisaaaaa ndani ya Thai Village ili kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Uniongozeeeee bila neema zako siwezi kwendaaaaaa,kwa mkono wako kweliiiiiiii umenibarikiiiiii Le Meneja Her Self Aneth Kushaba akiimba kwa Hisiaaaa kali...Nyimbo za kusifu zinahusika pia.
Baraka zakooo ziweee na Mimiiiiii kwa mkono wakooo kweliii umenibarikiiiiiiiii Le Meneja Her Self Aneth Kushaba(katikati)akiimba kwa upoleeee kabisaaa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Hashimu Donode Akizipigaaa Sauti kali na zenye mpangilio ndani ya Thai Village
Aneth Kushaba(wa kwanza kushoto)akiwa na Digna Mbepera (wa pili toka kushoto) wakiimba kwa kupokezana kwa rahaaaa zaooo,yote ikiwa ni kuwapa burudani mashabiki wao.
Le Meneja akiwa na Furahaaa ya kutoshaaaaa kupona mashabiki wanapata burudani nzuriii,kwa mbaliiiii Mpiga solo Allen Kisoo akichungulia.
Ukafika wakati ambao Ulikukwa unasubiliwa ni Kumpongeza Mrembo Digna Mbepera kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake,Aneth Kushaba akimwelezea kidogo Kijana wake.
Wowww wowwww Ilove you allllllll ni Digna Mbepera akifurahia kuona shangwe za kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa
Ohhhhhh My God!!!!!!! Ni mshangao kwa Digna Mbepera baada ya kuona zawadi za keki zikimiminika kwake.
Digna Mbepera(katikati) akifurahia zawadi ya keki alizopewaa.
Operation Manager wa MOblog Zainul Mzige akilishwa keki na Digna Mbepera
Digna Mpera akimlisha keki Mpiga Bass wa Skylight Band......
Digna akimlisha keki Hashimu Donodeee.
Hahahaha Donode na Imma Wakipongezana kwa raha zaoo baaada ya kushiba keki Vijana hatari hawaaaa acha kabisaaa
Donode wa kwanza kushoto akimuonesha Meneja wake Aneth kushaba ni kwa jinsi gani alivyo mzuri kwa kuyarudi mastep huku meneja akicopy kwa mbaliiiii...
Aneth kushaba akamwambia weweeee dogo sana Donode subili nikuonyeshe wewe utakaaa mwenyewe kimyaaaaa
Umeonaa Donodeee umeonaaa ubishi unakuponza sasa,mama yangu Ona viuono vya Aneth Kushaba hatariiii
Mpaka chiniiii chini kabisaaaa,Donode kimyaaaa akishangaaa tui,usimchezeee Meneja wewe kwa kuyarudi
Wapenzi na mashabiki wa Skylight band wakicheza muziki mzuri kwa rahaaa zao.
28
Nyomiiii la kutoshaaaaa Usikose Leo upate raha na Skylight Band
Hapo sasa ukafika wakati wa mduara hapo ni mwanaume kazi na mwanamke nyongaaaaa
Si umeona viuno Hivyooooo Usikose leo Thai Village upate burudani ya kufa mtu
Kweli Skylight kuna Mengi Operation Manager wa MOblg, Zainul Mzige akapata na Bahati ya kukutana na Classmate wake wa kitambooooooo,
Divasss wa kutoshaaa wanakuwepo kupata burudani na Rahaaaa
Zainul Mzige Akipata Ukodak na Mkali wa Vocal Mary Lucos
Mpiga solo mahiri wa Skylight band Allen Kiso akipata Ukodak wa nguvu na kukuambia,Usikoseeeeee Leo ndani ya Thai Village nitazikata nyuzi za gitaaaa kwa uppigaji wa hali ya Juuu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.