WABUNGE MASHABIKI WA YANGA WAONYESHANA UBABE NA WENZAO WA SIMBA

 Kikosi cha timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Wabunge mashabiki wa Simba. 
Beki wa timu ya Wabunge wa Simba, Wiliam Ngeleja akichuana na mshambuliaji wa Wabunge wa Yanga, Mwigulu Nchemba.
Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan
Kikwete (kushoto), akimtoka beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam Malima katika mchezo wa Matumaini uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Simba ilichapwa mabao 3-2.
 Mashabiki wakifuatilia mchezo huo.(Picha zote na Francis Dande)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.