Gari aina ya Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN lililopinduka maeneo ya Tazara.Polisi akilitazama gari lililopata ajali eneo la tukio.Pichani juu na chini Wananchi wakishuhudia kwa karibu zaidi ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Tazara.
Ajali ya
gari dogo imetokea jana majira ya saa 10 za jioni katika maeneo ya
Tazara jijini Dar es salaam. Dereva wa gari hili (Toyota Landcruiser VX
lenye namba za usajili T540 APN) aliruka mapema kabla ya tukio kutokea
na alikuwa peke yake.Kwa mujibu wa mashuhuda ni kwamba, dereva alipoteza
muelekeo ktk kulikwepa gari aina ya fuso lililokuwa kando ya
barabara.Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments