Mmiliki wa Blog hii, Kamanda Richard Mwaikenda 9juu0 , akiwa mbele ya dege la kifahari la Alhaji Aliko Dangote tajiri wa kwanza Afrika na wa 23 Duniani kwa mujibu wa jarida la Fobes 2013. Dangote alitua na dege hilo kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara mwishoni mwa wiki, alipokwenda kukgua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa mkoani Mtwara. Kiwanda hicho kitakachoanza uzalishaji Juni mwakani, kitaajiri watu 10,000 na kitakuwa na bandari yake . Kabla ya kuwasili nchini alitokea kukagua viwanda vyake Afrika Kusini, Zambia na Ethiopia.
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments