KAMANDA RICHARD MWAIKENDA ATUA KIWANDA KIKUBWA CHA SARUJI CHA BILIONEA DANGOTE

 Mmiliki wa Blogu hii ya Kamanda wa Matukio, Kamanda Richard Mwaikenda akiwa katika eneo la ujenzi wa Kiwanda kikubwa cha saruji ambako alikwenda kufanya coverage ya ujio wa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Dangote Group Industries,  Alhaji Aliko Dangote ambaye alifika mwishoni mwa wiki na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake hicho kilichopo Mtwara, Tanzania. Dangote ni mmoja kati ya matajiri wakubwa wanoongoza Afrika. Kiwanda hicho kinatarajia kuanza kazi Juni 2015.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI