RAIS MUSEVENI WA UGANDA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU MOJA

 Ndege iliyomleta  Rais wa Uganda Yoweri Museveni ikiwa imetua katika Kiwanja cha Ndegecha  Kimataifa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa ziara yake ya kikazi ya siku moja ambapo alipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo jijini Dar es Salaam.
  Raiswa Uganda Yoweri Museveni akiteremka katika ndege iliyomleta leo jijini dares Salaam kwa ajili ya ziara yake ya siku moja nchini Tanzania .

RaiswaJamuhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. JakayaKikweteakikaguaGwaride la MaaskaripamojanaMgeni wake Raiswa Uganda YoweriMusevenibaadayakuwasilileojijinikatikaKiwanja cha Ndege cha KimataifaMwalimu Julius Nyererekwaajiliyaziarayasikumoja.


RaiswaJamuhuriwaMuunganowa Tanzania JakayaKikwete (Kulia) pamojanamgeniwake Raiswa  UgandaYoweriMuseveni (kushoto) wakiangaliangomazautamadunibaadayakuwasilikatikaKiwanja cha Ndege cha KimataifaMwalimu Julius NyerereLeo jijini Dar es Salaam ,kwaajiliyaziarayasikumojahapanchini.


Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete (Katikati) akipata maelekezokutokakwamwongozamsafaranakushotoniRaiswa Uganda YoweriMuseveniambayeamewasilinchinileokwaajiliyaziarayasikumoja. ( PichanaLorietha Laurence-Maelezo)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI