SHIRIKA LA NYUMBA A TAIFA LAKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA YA KUFUNGAMANA ARUSHA

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyirembe Munasa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi.Rachel Kassanda  wakiwa tayari kutoa hundi kwa mmoja wa kiongozi wa vikundi vya vijana baada ya kupokea hundi. (Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Jamii)
Kiongozi wa mbio za mwenge Rachel Kassanda akikagua matofali na nyuma yake ni mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa.
 Maafisa toka NHC Amoni Mazanda na Gibson Mwaigomole wakiangalia baadhi ya mambo yaliyoratibiwa na wenyeji wao H ya Meru
 Maafisa wa shirika wa mauzo na miliki Amoni Mazanda wakiwa na maafisa maendeleo wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha Mwatumu Dossi na wa Halamashauri ya Meru Bwana Mrema
 Jiwe la Msingi
 Nyumba za gharama nafuu zilizopo Longido kama zinavyoonekana pichani
 Wageni wakiwasili eneo la nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa Longido
Mbunge wa Longido Lekule Laizer akiwa na Mkuu wa wilaya ya Longido James Olle Millya wakiangalia jiwe la msingi la mradi wa nyumba za gharama nafuu Longido.
Maelezo kwa kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA