TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TUME YA RAIS YA UCHUNGUZI WA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI:RATIBA YA TUME YA RAIS YA UCHUNGUZI WA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI KUTEMBELEA MIKOA YA KIGOMA, KATAVI, RUKWA NA MBEYA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 
Tume inatoa taarifa kwa Umma kuwa itatembelea Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili kuanzia tarehe 17/9/2014 mpaka 6/10/2014 kama ratiba inavyoonesha:-
Na.
Tarehe
Mkoa/Wilaya
1.
Jumatano 17/9/2014
Kigoma

Alhamisi
18/9/2014
Kibondo

Ijumaa
19/9/2014
Kibondo

Jumamosi
20/9/2014
Kasulu

2.
Jumatatu
22/9/2014
Kasulu

Jumanne
23/9/2014
Uvinza

Jumatano
24/9/2014
Uvinza

3.
Alhamisi
25/9/2014
Mpanda

Ijumaa
26/9/2014
Mpanda

Jumamosi
27/9/2014
Mpanda

4.
Jumapili
28/9/2014


Jumatatu
29/9/2014
Sumbawanga

Jumanne
30/9/2014
Sumbawanga

5.
Jumatano
1/10/2014


Alhamisi
2/10/2014
Mbozi

Ijumaa
3/10/2014
Mbeya

Jumamosi
4/10/2014
Mbarali

Jumapili
5/10/2014
Mbarali

6/10/2014


Aidha Tume inaendelea kupokea taarifa na malalamiko kwa njia ya barua, simu na barua pepe kwa anwani ifuatayo:-
i.Katibu wa Tume
Tume ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili
SLP 9050
Kivukoni Front
Dar es Salaam

  ii.Barua Pepe:  opereshenitokomeza@agctz.go.tz

  iii. Namba za simu:
Tigo:0714 826826
Vodacom:0767 826826
Airtel: 0787 826826
Zantel:0773 826826

Imetolewa Na:
Frederick K.Manyanda
KATIBU WA TUME

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA