WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS ILALA 2014 WATAMBULISHWA RASMI KWA MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND

      

DSC_0089Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia watakuwepo kuanzia saa tatu usiku.
DSC_0024Kijana Hashim Donode akionyesha hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kushoto ni Meneja wa Band Aneth Kushaba akimpa sapoti.
DSC_0169Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na nyimbo mbalimbali zilizokuwa zikiporomoshwa na bendi hiyo.
DSC_0016Meneja mwenyewe huyo Aneth Kushaba AK 47 akipiga vocal kwa hisia kali kabisa kuhakikisha mashabiki wa Skylight Band roho zao zinasuuzika.
DSC_0080Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akifanya yake jukwaani huku kushoto na kulia akisindikizwa na Aneth Kushaba AK47 na Mary Lucos.
DSC_0192Pichani juu na chini ni washiriki wa shindano la Miss Ilala 2014 litakalofanyika Jumamosi hii ndani ya hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanjaro wakitambulishwa mbele ya mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0197
DSC_0205Washiriki wa shindano la Miss Ilala 2014 wakijimwaga uwanjani na burudani ya Skylight Band ndani kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita.
DSC_0211
DSC_0214
DSC_0223Pichani juu na chini ni walimbwende wa shindano la Miss Ilala 2014 wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Skylight Band ambapo Jumamosi hii atapatikana mshindi wa taji hilo ndani ya Hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanjaro jijini Dar.
DSC_0226
DSC_0071Mary Lucos akiwaduarisha mashabiki wa Skylight Band kwa hisia kali Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0239Umati wa mashabiki wa Skylight Band wakiduarika kwa raha zao na burudani kutoka kwa Mary Lucos (hayupo pichani).
DSC_0243Nyomi ya kufa mtu ni matumaini yangu ya leo itakuwa zaidi ya jana….Karibuni wote mjiachie na Skylight Band ndio habari ya mujini.
DSC_0163Rais wa Wanamanyoya Justine Ndege akipata ukodak na kijana wake Mary Lucos wa Skylight Band

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.