Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu wa ndani wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. George Binde (wa kwanza kulia) akiwapa kipeperushi chenye taarifa za huduma zitolewazo na benki hiyo wateja walipotembelea banda la benki wakati wa mkutano wa nane wa mwaka wa Ukaguzi wa Mahesabu ya Ndani ulioandaliwa na Taasisi ya Ukaguzi wa Mahesabu ya Ndani (IIA) uliofanyika Arusha hivi karibuni. Pamoja ni Meneja Mauzo, Assed Naqvi (wapili kulia) na Bw. Gabriel Milling Mkaguzi wa Mahesabu wa Ndani wa Benki hiyo (wa tatu kulia). Picha na Mpiga Picha Wetu.
Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakionyesha tuzo iliyopewa benki wakati wa mkutano wa nane wa mwaka wa Ukaguzi wa Mahesabu Ya Ndani ulioandaliwa na Taasisi ya Ukaguzi wa Mahesabu ya Ndani (IIA) uliofanyika Arusha hivi karibuni.
Comments