DK.SHEIN AHUTUBIA MKUTANO WA CCM KIBANDA MAITI UNGUJA


unnamed2Wananchi na WanaCCM waliofirika katika viwanja vyaDemokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja wakiwa katika Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo ambao umeweka bayana na kufanya uchambuzi baadhi ya vifungu vya katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba.[Picha na Ikulu.] unnamedWananchi na WanaCCM waliofirika katika viwanja vyaDemokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja wakiwa katika Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo ambao umeweka bayana na kufanya uchambuzi baadhi ya vifungu vya katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba.[Picha na Ikulu.]  unnamed3 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Pili Balozi wakiwa katika Mkutano wa Hadhara katika Viwanja vya Demokrasia Kibanda maiti Mjini Unguja leo uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyeekiti CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  .[Picha na Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*