KIBAKA ALA KICHAPO KIKALI



Kijana Mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Omar mkazi wa Mafisa Morogoro,ambaye ni dereva wa boda boda mwishoni mwa wiki iliyopita alipokea  kichapo  kutoka kwa wananchi wenye hasir akidaiwa kumpora simu mwanamke mmoja nayedaiwa kuwa mwanafunzi wa chuo Kikuu Cha Kilima Cha Sokoine’ SUA’ 
Tukio hilo limetokea ijumaa iliyopita  Eneo  Mazimbu  FK  ambapo Mwanafunzi  huyo alikuwa akitembea kuelekea chuoni huku akiongea na simu hivyo Omar aliyekuwa amempakia mwenzake kwenye pikipiki walimpora simu kwa kutumia pikipiki hiyo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU