KINANA AMTEMBELEA BALOZI KOMBO WA SHINA LA CCM TANGA

 Balozi wa Shina la CCM namba 1, jijini Tanga, Kombo Mbwana akiwa haamini macho yake alipokuwa akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyemtembelea balozi huo nyumbani kwake ambapo watu waliokuwa kwenye msafara walipata mlo wa mchana juzi. Kinana amehitimisha ziara ya siku 11 mkoani Tanga, ambapo alisafiri zaidi ya Km 3000, kukagua miradi 72 na kuhutubia mikutano 76 katika majimbo yote 11 ya mkoa huo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Kinana akizungumza na wananchama wa CCM nyumbani kwa Balozi Kombo Mbwana jijini Tanga.Kombo Mbwana amekuwa balozi kwa miaka 50.
Balozi Kombo akimzawadia Kinana kanzu, Balakashia na Mswala.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*