KINANA ATUA KILOLO AWAAMBIA VIONGOZI WANAOKULA KUKU KWA MRIJA PIA WAONJE MACHUNGU WANAYOYAPATA WANANCHI

 Wazee wa kimila wa kabila la Wahehe, wakimvisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana vazi rasmi la kumtambua kuwa mmoja wa wazee viongozi wa kabila hilo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Utengule, Kata ya Ihimbo, wilayani Kilolo wakati wa ziara ya Kinana ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Wananchi wakimsikiliza Kinana alipokuwa akiwahutubia katika mkutano huo
Kinana akiwahutubia wananchi katika Kata ya Ihimbo, wilayani Kilolo, Iringa


 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilolo, Seth Mwamoto akimkaribisha Kinana wilayani humo ambapo alishiriki ufyatuaji matofali ya mradi wa vijana wa Muungano
Baadhi ya wananchi wakishuhudia Kinana akishiriki ufyatuaji wa matofali katika mradi wa vijana wa Muungano Kilolo Mnadani, wilayani Kilolo leo.

Wananchi wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CCM, Kinana baada ya kushiriki ufyatuaji wa matofali katika mradi huo wa vijana.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mmoja wa vijana akiwa juu ya kisiki akisikiliza kwa makini hotuba ya Kinana katika Kijiji cha Kilolo Mnadani
Kinana akishiriki ufyatuaji wa matofali katika mradi huo wa vijana


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Utengule, Kata ya Ihimbo, ambapo aliwakejeli wapinzani kwa kuwafananisha na kupe anayetegemea kuvyonza damu ya ng'ombe na kwamba hata ng'ombe akifa kupe anakuwa hajui.
Nape akihutubia katika mkutano huo wa hdhara ambapo alisema kuwa kazi ya CCM ni kutenda kwa kuwapatia wananchi huduma mbalimbali za maendeleo wakati upinzani kazi yao ni kukejeli, na kuandaman ovyo na kwamba katika uchaguzi wa serikali za mitaa Desemba 14 mwaka huu wapinzania watabwagwa vibaya.

Kinana akijadiliana jambo na Nape . Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilolo.Iringa
Mmoja wa wananchi akiuliza swali katika mkutano huo
Mwalimu wa Shule ya Msingi Utengule, Atuganile Mwansasu akiuliza swali kuhusu uhaba wa nyumba za kulala walimu katika shule hiyo
Wazee wa Kihehe wakimpatia mkuki Kinana baada ya kumvisha mavazi ya kimila wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Utengule, Kilolo

Kinana akihutubia katika mkutano huo

Kinana akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa kimila wa kihehe
Kinana akikagua moja ya vyumba vya madara ambacho hakinaa paa wala madawati ya kukalia wananfunzi
Kinana akiwa na mwalimu wa Shule ya Msingi Iwindi  akitoka kuikagua shule hiyo ambayo ina vyumba viwili ambapo kimoja wapo hakijakamilika

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*