KOMANDOO WA JWTZ ALIYEUA MTU AFIKISHWA MAHAKAMANI DAR



 

Komando wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, Octavian Maurus.
Polisi wakiondoka mahakama ya wilaya Temeke leo na komandoo huyo.
Wananchi wakiwa mahakamani.
KOMANDO wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita, Octavian Maurus Gowele amefikishwa mahakama ya wilaya Temeke leo akishtakiwa kwa mauaji. Mshitakiwa amekana shitaka.Kesi yake imeahirishwa mpaka Novemba 4, 2014.
(PICHA NA RICHARD BUKOS, ISSA MNALLY/GPL)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.