MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MKUTANO MKUU WA WANACCM WILAYA YA ILALA JIJINI DAR


01Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati alipokuwa akifunga mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, uliofanyika jana Oktoba 19, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR 07Baadhi ya Wanachama wa CCM Wilaya ya Ilala, wakiimba na kushangilia kwa furaha wakati walipokuwa wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia alipokuwa akifunga rasmi Mkutano Mkuu wa wanachama wa CCM Wilaya ya Ilala. Picha na OMR 08Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Ilala kuimba wimbo maalum wa Chama wakati Dkt. Bilal, alipokuwa akifunga rasmi Mkutano mkuu wa CCM wa Wilaya hiyo jana Oktoba 19, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR 05Baadhi ya Wanachama wa CCM Wilaya ya Ilala, wakiimba na kushangilia kwa furaha wakati walipokuwa wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia alipokuwa akifunga rasmi Mkutano Mkuu wa wanachama wa CCM Wilaya ya Ilala. Picha na OMR 09Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wanachama wa CCM wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jana Oktoba 19, 2014 baada ya kufunga rasmi Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ilala. Picha na OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA