NGUMI ZILIVYOPIGWA TANDIKA,ZIMEFANA

 

Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano uho picha na SUPER D BLOG
Bondia Hassan Rajabu kushoto akipambana na Said Wigo wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe mpambano huo ulisha kwa droo picha na SUPER D BLOG
Bondia Amani Bariki kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ally Mustafa wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Bariki alishinda kwa point mpambano huo uliokuwa wa raundi nane Picha na  SUPER D BLOG
Bondia Amani Bariki kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ally Mustafa wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Bariki alishinda kwa point mpambano huo uliokuwa wa raundi nane Picha na  SUPER D BLOG
 
Bondia Shomari Mirundi
Bondia Ibrahimu Class ‘ King Class Mawe’ akimpaka mafuta  bondia Shomari Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia mitini
Bondia Ibrahimu Class ‘ King Class Mawe’ akimfunga glove bondia Shomari Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia mitini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI