NHIF YAANZISHA MPANGO WA KUPELEKA MADAKTARI BINGWA MIKOANI

 Mkurugenzi wa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Raphael Mwamoto akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo,  kuhusu mpango wao wa kupeleka madaktari bingwa mikoani kutoa huduma mbalimbali za tiba. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mwamoto akifafanua jambo katika mkutano huo, ambapo alisisitiza wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii na NHIF ili wakati wa mpango huo wapate unafuu wa gharama za matibabu.
 Mwamoto akielerza jinsi mpango huo ulivyofanikiwa katika awamu ya kwanza iliyofanyika katika mikoa ya Katavi, Rukwa, Kigoma na Lindi ambapo walitumia zaidi sh. mil 180. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA0
 Mwamoto akielezea kuwa madaktari bingwa hao wanatokea Hoepitali za Muhimbili, Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) na Bugando Mwanza. Alitaja madaktari hao kuwa ni mabingwa wa magonjwa ya moyo, wanawake, watoto, upasuaji na dawa za usingizi. Kushoto ni Meneja Utafiti na Ubora wa NHIF, Dk. Mkwabi Fikirini na
 Baadhi ya wanahabari wakiwa katika mkutano huo uliofanyika Makao Makuu ya NHIF, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI