NMB YADHAMINI MASHINDANO YA GOFU YA KUMUENZI BABA WA TAIFA HAYATI JULIUS NYERERE


Meneja Udhibiti Hasara Katika Soko la Fedha wa NMB, Lukundo Toroka akipiga mpira wa Gofu kwenye mashindano ya NMB Nyerere Masters yaliyomalizika juzi katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam. NMB ni mdhamini mkuu wa mashindano hayo ya Nyerere Masters yenye lengo la kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.(NA MPIGAPICHA MAALUM)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA