POLISI WATUHUMIWA KUMLIPUA MLIPUAJI WA MABOMU ARUSHA

Jeshi la polisi mkoani arusha limemuua kwa kumpiga risasi mtuhumiwa namba moja wa milipuko ya mabomu katika mikusanyiko na kuwamwagia viongozi wa dini tindikali baada ya kujaribu kutoroka akiwa chini ya ulinzi akiwa njiani kwenda kuonyesha bomu alilokuwa amelificha maeneo ya kondoa mkoani dodoma .
Taarifa iliyonifikia hivi punde kupitia Radio One Breaking News inahusu kuuawa kwa mtuhumiwa namba moja wa kesi ya ulipuaji mabomu jijini Arusha, Yahaya Hassan Omar kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi la polisi wakati alipojaribu kutoroka akiwa chini ya ulinzi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA