SIMBA YAZIDI KUELEMEWA NA DROOO YATOKA NA PRISONS 1-1 MBEYA

Wekundu wa Msimbazi Simba leo wametoka droo ya 1-1 na Prisons ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine,jijini Mbeya.

Simba walikuwa wa kwanza kufunga bao lililotiwa kimiani na Emmanuel Okwi,  ambapo dakika nne kabla ya mchezo kumalizika Prisons walisawazisha.timu hiyo sasa imefikisha pointi 5 baada ya kutoka droo katika michezo yote mitano iliyocheza katika ligi hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.