ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA TABORA

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya kikazi mkoani humo Oktoba 11, 20-14.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki na Mbunge wa Urambo, Samuel Sitta baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora  kwa ziara ya kikazi Oktoba 11, 2014. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa. {Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu,  Mizengo Pinda akizindua  mradi wa nyumba za wafanyakazi wa  wilaya ya Uyui akiwa katika ziara ya mkoa wa Tabora, Oktoba 11,2014. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na Kulia ni Mkuu wa WIlaya ya Uyui, Lucy Mayenga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Tabora kabla ya kufungua kituo cha polisi cha wilaya ya Uyui na kuwahutubia  wananchi, Oktoba 11, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 aziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kituo cha polisi cha wilaya ya Uyui akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tabora, Oktoba 11, 2014. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Lucy Mayenga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, ACP Suzan Kaganda (kulia) baada ya kufungua kituo cha polisi cha wilaya ya Uyui akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tabora, Oktoba 11, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA