BREAKING NEWS!!ABIRIA WANASADIKIWA KUFARIKI KATIKA AJALI YA BASI LA KAMPUNI YA WIBONELA LAPINDUKA ASUBUHI

Basi la kampuni ya wibonela lililokuwa likitokea Kahama kuelekea jijini Dar esalaam limepinduka asubuhi hii maeneo ya Phantom kahama baada ya dereva wa basi hilo kushindwa kulimudu basi hilo lilipofika katika kona ya Phantom
mjini kahama likiwa katika mwendo kasi, bado haijajulikana ni watu wangapi wamepoteza maisha na kujeruhiwa katika ajali hiyo. Taarifa za awali kutoka kwenye tukio ambazo hazijathibitishwa na polisi zinadai watu  wamefariki 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA