DIAMOND ATUA MAGAZETI YA JAMBO LEO NA STAASPOTI DAR

 Msanii wa maarufu wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasseb Abdul 'Platnamuz' (aliyevaa kofia katikati), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi na waandishi wa habari wa magazeti ya Jambo Leo na StaaSpoti alipotembelea Kampuni inayochapisha magazeti hayo ya Jambo Concepts Tanzania Limited (JCTL), Dar es Salaam.PICHA NA KASSIM MBAROUK NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwessa akimkabidhi Diamond gazeti la Jambo Leo
 Diamond akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasichana wa kampuni hiyo
 Diamond akijadiliana jambo na Mmiliki wa Blogu hii ambaye pia ni Mpigapicha Mkuu wa magazeti ya Jambo Leo na StaaSpoti, Richard Mwaikenda
 Mkurugenzi wa JCTL, Benny Kisaka akimtambulisha Diamond kwa wanahabari
 Diamond akijibu baadhi ya maswali aliyoulizwa



 Meneja wa Diamond, Babu Tale

 Diamond akisoma gazeti la Jambo Leo

 Diamond akiwa na  msanifu wa magazeti hayo, Hamza
 Diamond akiwa na Kassim Mbarouk ambaye ni mmiliki wa Blogu ya Bayana na Mpigapicha mwandamizi wa magazeti hayo

Diamond akiwa na Mkurugenzi wa JCTL, Benny Kisaka

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.