DR. SHEIN KATIKA MKUTANO WA CCM PEMBA

      

unnamed Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa rais pia Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Seif Ali Iddi  alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale.[Picha na Ikulu.] unnamed1 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (wa tatu kushoto) Makamo wa Pili wa Rais pia Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Seif Ali Iddi,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla mohamed  Mshindo na Mke wa  Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mama Asha Balozi wakiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika ujwanja Gombani yakale Kisiwani Pemba jana.[Picha na Ikulu.] unnamed2Wananchi na wanaCCM wa Mikoa ya Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale.[Picha na Ikulu.] unnamed3Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na Wana CCM  alipowasili katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika uwanja wa Mpira Gombani ya Kale Wilaya ya Chake Chake Pemba.[Picha na Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU