KINANA ASHIRIKI KUVUNA KOROSHO WILAYANI LIWALE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akisaidia kuokota korosho katika shamba moja la mkulima wakati wa ziara ya kikazi ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo kwa inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi leo leo katika Wilaya ya Liwate, mkoani Lindi.

 Korosho ikiwa bado kwenye mti.
 Kinana akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa mitambo ya maji alipokagua katika Kijiji cha Mpigamiti, wilayani Liwale, Lindi leo.
Kinana akilakiwa katika Kijiji cha Mpigamiti kushiriki ujenzi wa miundombinu ya maji pamoja na kuzindua mradi wa maji wenye uwezo wa kuhudumia zaidi ya wananchi 6000 wa vijiji vitatu vya Mpigamiti, Namakololo na Mitawa, wilayani Liwale leo.
 Kinana akishiriki kutengeneza zege kw kutumia mtambo kwa ajili ya kutengenezea miundombinu ya maji katika mradi uliopo Kijiji cha Mpigamiti.
Komredi Kinana akimtwisha ndoo ya maji Khadija Shenaji baada ya kuzindua mradi wa maji katika Kijiji cha Mpigamiti, wilayani Liwale.
 Kinana akimimina zege kutengeneza muundombinu wa maji.


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akila bibo katika shamba korosho mjini Liwale, Lindi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.