Kinana akiendesha Katapila wakati wa ujenzi wa barabara hiyo.
Kinana akisawazisha kifusi kwa kutumia Katapila. |
Kinana akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Abdalah Ubea alipokuwa akikagua shamba la vijana la umwagiliaji Nangurukuru, Kata ya Mandawa wakati wa ziara yake wilayani Kilwa leo.
Mjumbe wa NEC-CCM Bernard Membe, akizungumza baada ya kutambulishwa kwa wananchi katika shamba hilo |
Kinana akipata maelezo kuhusu Mto Mavuji unaotumiwa na vijana katika kilimo cha umwagiliaji katika shamba lao |
Vijana wakishiriki katika uvunaji wa chumvi katika Kijiji cha Miina, wilayani Kilwa leo
Kinana akishiriki katika uvunaji wa chumvi katika Kijiji cha Miina, Kilwa |
Kinana akimtwisha mama ndoo ya chumvi iliyovunwa katika Mradi wa Miina katika Kijiji cha Miina, Kilwa
Kinana akioneshwa ghala la kuhifadhia chumvi katika Kijiji cha Miina. |
Mjumbe wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi, Ally Mtopa wakati wa mkutano wa hadhara, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Kilwa Masoko leo.
Wananchi wakinyoonsha mikono kuashiria kukikubali chama cha mapinduzi wakati wa mkutano huo wa hadhara.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika mkutano huo.
Comments