MABONDIA WAZIPIGA MAZOEZINI WAKISIMAMIWA NA KOCHA SUPER D

       

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata wakati wa mazoezi yaliyofanyika Shule ya Uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam jana picha na SUPER D BLOG
Bondia Shabani Kaoneka kulia 
akimtupia konde  Obago Kamata wakati wa mazoezi yaliyofanyika Shule ya Uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam jana picha na SUPER D BLOG
Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata wakati wa mazoezi yaliyofanyika Shule ya Uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam jana picha na SUPER D BLOG
Bondia Jumaa Rashid akioneshana ubavu na Juma Biglee wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa Shule ya Uhuru uwanja wa basket yaliyokuwa yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam jana picha na SUPER D BLOG
Bondia Omari Bai kushoto akipambana ya Kelvin Majiba wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa basket Shule ya Uhuru yaliyokuwa yakisimamiwa na Super D bOXING coach Dar es salaam jana picha na SUPER D BLOG
Bondia Shabani Kaoneka akipambana na Omari Bai wakati wa mazoezi yaliyofanyika Shule ya Uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na kocha Super D picha na SUPER D BLOG
Bodia Obaga Kamata kushoto akipambana na Idrisa Mweta wakati wa mazoezi yaliyofanyika Shule ya Uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach picha na SUPER D BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI