RAIS AZUNGUMZA NA WAZEE MKOA WA DODOMA LEO

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wazee wa mji wa Dodoma leo katika mkutano waliouitisha wazee kwenye ukumbi wa Kilimani, Dodoma, ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo
 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wazee wa mji wa Dodoma leo katika mkutano waliouitisha wazee kwenye ukumbi wa Kilimani, Dodoma, ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo

 Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Novemba 4, 2014  tayari kwa  mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo.

 Wimbo wa Taifa
 Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma
 Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete mjini Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

 Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
  Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa  Mazungumzo kati ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na  wazeewa mji wa Dodoma

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*