Skip to main content

Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

 
Sitti Mtemvu 2014 kajivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es Salaam.

Mshindi namba 2, Lilian Kamazima kakabidhiwa rasmi taji hilo.
Hapo mwanzo alikua anashutumiwa Kwamba amegushi vyeti na umri ili ashide umiss ambapo ilizua mjadala mkubwa kwenye huu uzi Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu . Hata hivyo alikanusha habari hizo kwamba sio za kweli ambapo hata Hashimu Lundenga alithibitisha kwamba hajagushi umri kwenye huu uzi Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA