Taarab Rasmi ya Miaka minne ya Dk.Shein.

      


1aRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi wengine katika  Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana.[Picha na Ikulu.] 2aViongozi mbali mbali  waliohudhuria katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati vikundi mbali mbali vikiburudisha .[Picha na Ikulu.]  4a Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kutoka kushoto) Mama Pili Balozi na Mama Asha Suleiman Iddi wake wa Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana wakifuatilia kwa makini wakati vikundi mbali mbali vikiburudisha .[Picha na Ikulu.] 5aMwimbaji wa kikundi cha Zanzibar One Rukia Moriss alipoburidisha kwa wimbo “Achekwe hana stara”wakati wakati wa Tamasha maalum la taarab ya kusherehekea miaka minne (4) ya ushindi wa CCM na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika  Ukumbi wa Salama Hall Bwawani jana [Picha na Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.