TIGO YACHANGIA DOLA 50,000 ZA KUNUNUA MADAWATI YA SHULE TZ

  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akionesha mfano wa hundi wa dola elfu hamsini kutoka Tigo kama mchango wa kampuni hiyo wakati akiendesha harambee ya kuchangia upatikanaji wa madawati nchini ulioandaliwa juzi na mfuko wa Hassan Maajar Trust (HMT) jijini Dar es Salaam. Akishuhudia kulia ni Mwenyekiti wa HMT Balozi Mwanaidi Maajar na Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kushoto).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiangalia mfano wa hundi wa dola elfu hamsini kutoka Tigo kama mchango wa kampuni hiyo wakati akiendesha harambee ya kuchangia upatikanaji wa madawati nchini ulioandaliwa juzi na mfuko wa Hassan Maajar Trust (HMT) jijini Dar es Salaam. Akishuhudia kulia ni Mwenyekiti wa HMT Balozi Mwanaidi Maajar na Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kushoto).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.