Wafanyakazi wa kituo hicho katika picha ya pamoja. Sehemu ya mabenchi yaliyotolewa na kampuni ya simu Tanzania (TTCL) Msaada huo umegharimu shilingi milioni moja na laki saba. Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho Dtk. Mwajuma Mbaga akiishukuru TTCL kwa msaada walioutoa na kuwaomba wadau wengine wasaidie kituo hicho kwani kinahudumia wagonjwa zaidi ya 350 kwa siku Dkt. Mwajuma Mbaga (kushoto) akiwa pamoja na baadhi ya wauguzi kituo hicho. Kulia ni Afisa Uhusiano wa TTCL Bi. Amanda Luhanga Dkt. Mwajuma Mbaga akipokea msaada huo kutoka kwa Kaimu meneja Uhusiano wa TTCL Bw. Edwin Mashasi.
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments