TWAA WAZINDUA TUZO ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA 2015

 Rais wa Shirika la Wanawake Wenye Mafanikio (TWAA), Irene Kiwia 9kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa Tuzo ya Wanawake Wenye Mafanikio Tanzania 2015  zitakazofanyika hivi karibuni. Kushoto ni Mwenyekiti wa TWAA, Sadaka Gandhi. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA-KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mwenyekiti wa TWAA, Sadaka Gandhi, akifafanua jambo wakati wa mkutano, ambapo alisema wanawake wataoshiriki kwenye tuzo hiyo ni kuanzia umri wa miaka 18 hadi 27.
Baadhi ya wanahabari wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Serena jijini.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA