VIONGOZI WA SUDANI KUSINI WAMFUATA KOMREDI KINANA MASASI KUPATANISHWA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akinyanyua mikono juu kuashiria mshikamano na baadhi ya viongozi wa makundi ya Chama cha SPLM cha Sudan Kusini ambao wako kwenye mgogoro wa kugombea madaraka kwa takribani mwaka sasa. Kinana amekutana na viongozi hao wakati wa mkutano wa hadhara mjini Masasi, Mtwara baada ya kumfuata kutaka ushauri wa upatanishi kutoka kwao Sudani Kuzini. Baada ya ya viongozi hao kupata wasaa wa kusalimia wananchi katika mkutano huo alifanya nao mazungumzo Ikulu Ndogo ya Masasi. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Kinana akiwa katika mkutano wa kuwapatanisha viongozi hao, usiku huu Ikulu Ndogo ya Masasi, Mtwara

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.