AISHA MADINDA WA TWANGA AFARIKI DUNIA

 Enzi za uhai wake Mwanaisha Mbegu Aisha Madinda akiongoza safu ya wanenguaji wenzake wakati Bendi ya The African Stars 'Wana Twanga Pepeta' walipofanya shoo wakati wa ziara yao nchini Uingereza  mwaka 2007.

Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar

Aisha madinda ambae jina lake halisi ni Aisha Mbegu alizaliwa mwaka 1980 katika  Hospitali ya Ocean Road jijini Dar na alipata umaarufu mkuwa kwa uhodari wake wakucheza muziki alipokuwa kwenye  Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’.

Vile vile Aisha aliwahi kuingia kwenye tasinia hii ya filamu na kuweza kuigiza filamu akiwana watu kama aliekuwa muimbaji TX Moshi William (Marehemu)  pamoja na mcheza soka Boniphace Pawasa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI