HABARI NJEMA KWA TANZANIA, MISS TANZANIA BADO YUPO KUMI BORA MISS WORLD..ENDELEA KUMPIGIA KURA ASHINDE KABISA



Juzi December 10 2014 Watanzania walimpokea kwa shangwe mwakilishi wao kwenye BBAHotshots Afrika Kusini, Idris ambae ndie alitangazwa mshindi wa dola za kimarekani laki tatu siku kadhaa tu baada ya Diamond kuing’arisha Tanzania kwa kushinda tuzo 3 za Channel O.
Excellent news nyingine ni mshiriki wetu kwenye Mashindano ya Miss World, Happiness Watimanywa ambae saa chache zilizopita imethibitika kwamba ameiwakilisha vizuri Tanzania na kuifanya iingie kwenye kumi bora za mashindano ya Miss World People’s Choice.
Aliandika kwenye instagram “Tanzania Asanteni kwa support na uzalendo, tuendelee mpaka namba moja!!!!! #vote #PigaKura #DownloadTheApp #MissWorld2014”– @happinesswatimanywae.
Katika list hiyo, Happiness ameshika nafasi ya tisa katika kumi bora kama inavyoonekana hapa chini.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.