Kijana
mmoja nchini zimbabwe katika kijiji cha pote amekimbia kijiji hicho
baada ya kujikuta katika matatizo makubwa kufuatia kumtia mimba mama
yake mzazi kwa mara ya pili.Ikumbukwe
hapo nyuma kijana huyo aliwahi kutenda kitendo hicho ambapo wana kijiji
walimsihi kutorudia tena kitendo hicho baada ya kijana huyo kumshawishi
mama yake na kuitoa mimba hiyo.Simon Matsvara na mama yake Ethel Vhangare aliamua kuondoka baada
ya waumini wa kanisa lao kugundua kuwa mimba hiyo ni batili.Miaka minne iliyopita, wawili hao waliripotiwa na kutozwa faini na viongozi wa kijiji kwa kosa la kutoa mimba.Chifu wa kijiji, Chinamhora alisema kuwa jamii ilikasirishwa na kitendo hicho na kwamba yeye aliamua kuwatuma wafanyakazi wake kuwatafuta wawili hao waliokuwa wameamua kuishi kama

Comments