KONGAMANO LA WALIOWAHI HITIMU CHUO KIKUU CHA ARDHI (ARU) LAFANA DAR

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemiah Mchechu (kulia), akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU),  Profesa Idrissa Mshoro (kushoto) pamoja na Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho (Mipango, Fedha na Utawala), Profesa Eleuther Mwageni (wa pili kulia) baada ya kushiriki katika Kongamano la waliowahi hitimu katika chuo hicho, Dar es Salaam.  (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
 Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kulia), akijadiliana jambo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU),  Profesa Idrissa Mshoro (kushoto) pamoja na Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho (Mipango, Fedha na Utawala), Profesa Eleuther Mwageni baada ya kushiriki katika Kongamano la waliowahi hitimu katika chuo hicho, Dar es Salaam
 Mgeni rasmi, Kamishna wa Elimu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, E. Balamuseza akifungua kongamano hilo lililowahusisha pia wahadhili wa chuo hicho.
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Profesa Idrissa Mshoro akitoa shukrani baada ya mgeni rasmi kufungua kongamano hilo
 Mgeni rasmi, Kamishna wa Elimu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, E. Balamuseza (katikati) akiwa na Rais wa Jumuiya ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Injinia Bonaventura Baya pamoja na Meya wa Ilala, Jerry Silaa alipokuwa akiingia kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza lilipofanyika kongamano hilo.
 Profesa Mshoro akiwa na Meya Silaa waManispaa ya Ilala
 Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kongamano hilo
 Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Chuo hicho. Kutoka kushoto ni Anjela Salakana, Mary Kigosi na Khadija Maulid.
 Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwasilisha mada kuhusu uboreshaji wa miji ili iweze kukaliwa na watu.
 Sehemu ya washiriki wakiwa katika kongamano hilo



 Dk. rOBERT Ntakamulenga akiwasilisha mada juu ya mfdumo wa miundombinu ya maji inavyotakiwa katika miji


 Mhadhiri wa ARU, Profesa Esnati Osinde akitoa mada
Mhadhiri wa Chuo hicho, Profesa Lusiga Kironde akiwasilisha mada juu ya mambo muhimu saba yanayoweza kuboresha miji ili watu waweze kuishi kwa raha

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.