MAMA SALMA KIKWETE AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATA ZA NACHINGWEA NA MINGOYO HUKO LINDI

       

unnamed3 unnamed4Mjumbe wa NEC Taifa wa CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika shamrashamra na viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea muda mfupi kabla ya kuzungumza na viongozi hao tarehe 6.12.2014. unnamed5 Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa  Chama Cha Mapinduzi, Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea na wagombea wa chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. unnamed6Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa  Chama Cha Mapinduzi, Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea na wagombea wa chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. unnamed7Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete akimjulia hali mtoto mdogo aliyebebwa na mama yake wakati Mama Salma akiingia kwenye sehemu ya mkutano wa kampeni katika Kata ya Mingoyo huko Lindi tarehe 6.12.2014. unnamed8Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akijumuika na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wilaya ya Lindi mjini pamoja na wananchi wa Kata ya Mingoyo kucheza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mnazi Mmoja tarehe 6.12.2014.
unnamed10Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akijumuika na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wilaya ya Lindi mjini pamoja na wananchi wa Kata ya Mingoyo kucheza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mnazi Mmoja tarehe 6.12.2014.
unnamed12Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014
unnamed11Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014
 PICHA NA  JOHN  LUKUWI. 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.